Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

na kama hali ndo hy ujue kbs kuwa mkeo naye ananyumba ndogo inayomridhisha kwelikweli ndo mana hahangaiki na wewe.

siyo mbaya so long as ninapata kile roho inapenda... afterall katika mashindano kama haya anayeliwa ni mwanamke... kupigwa mitulinga na kubinuliwa kila wakati takes its own toll; no wonder wengi wao huwa wanazeeka kabla ya wakati...
 

Mkuu nimemtimua wk iliyopita.. yaani hatosheki ..Nachapa ucku round 4,bado anataka tu!! asubuhi nasepa job anataka tena kha..!!!
 

Hapo sasa unakosea.
Labda sijui unaongelea mda gani wa sex haswa,..
lakini kama ni usiku,usiku ni mda ambao unatakiwa kula kidogo saaaaana kuliko mda wowote wa siku.

Kuna sana asubuhi,kunywa maji mengi sana asubuhi pia.
Mchana punguza kiasi cha chakula,then usiku ndo kidoooooogo.

 

Simba, habari kaka. Siku hizi versus zamani?? Siku hizi tendo la ndoa sio burudani pekee iliyopo kama ilivyokuwa zamani. Halafu pia siku hizi watu wako busy na maisha in many fronts, wanahitaji muda wa kutosha kulala/kupumzika ili kujiandaa kuikabili kesho. Kugaragazana usiku kucha huo ni ukale and one-sided, sidhani kama wanawake wanahitaji mitikasi ya usiku kucha siku zote. Mara nyingi wanaofanya hivi ni wale ambao ama hawajaoa au hawana wapenzi wa kudumu, yaani wale wanaokuwa na vipindi virefu vya ukwale.
 

Asante sana.
Mara nyingi wanao taka magoli mengi ni wale ambao
wanakua hawako kwenye mahusiano kwa mda mrefu,...wameangalia sana porn
sasa wana taka ku fanyia mazoezi.

Msituue jamani,goli moja tu latosha.
 
Uwepo wa dawa za kuongeza nguvu sio ushahihi wa tatizo kwasababu kuwepo kwa dawa za kuongeza makalio haina maana wanawake wengi makalio yao ni mabaya au madogo siku hizi, bali ni maendeleo ya sayansi na technologia tu.

Are you serious bro?
 

You are genius bro.....
 
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?

kwanini lisiwe la ukweli? Suala hapo ni aina ya dozi. Hapo bao moja linakwenda saa zima. Mkija kumaliza hilo bao, si mwanamke wala si mwanaume atakuwa na ubavu wa kurudia. Katika muda huo mmke anaweza kufika kileleni hata mara mbili. Nataka kukuambia baada ya hiyo game mmke hatamani hata kuguswa. Wakati huo mme atakuwa anasikilizia maumivu ya korodani. Msione ajabu. Haya mambo yanawezekana.
 
Jamani hata ugumu wa maisha nao unachangia. Ili ule vizuri ni lazima uwe na pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe fit kiuchumi. Wanandoa wengi wakifika kitandani kila mtu anafikiria kesho itakuwaje? Hivyo concetration kwenye tendo la ndoa inapungua.
 
kwanini lisiwe la ukweli? Suala hapo ni aina ya dozi. Hapo bao moja linakwenda saa zima. Mkija kumaliza hilo bao, si mwanamke wala si mwanaume atakuwa na ubavu wa kurudia. Katika muda huo mmke anaweza kufika kileleni hata mara mbili

hii imekaa vizuri; yeye anapata multiple 'O' , wewe unapunguza stress kidogo na ku-conserve energy for other tasks.... siyo unapiga goli tano mpaka unatoa upepo kama ndiyo kwanza umebalehe...
 
hii imekaa vizuri; yeye anapata multiple 'O' , wewe unapunguza stress kidogo na ku-conserve ernegy for other tasks.... siyo unapiga goli tano mpaka unatoa upepo kama ndiyo kwanza umebalehe...

hahaha,ume nichekesha kweli kweli
 

geswho,like like like this coment!ebana e coca na karanga,umesahau mabarobaro wanapiga kiepe mshkak kutwa na maj glas moja af anaingia mzgon..anaishia kutema tui la tatu tu..hahah
 
wamepungukiwa nguvu au mitala imezidi? Kabla hajaja kwako ameshapitia wa 3 na wote kawaachia vi3 vi3 vya moto kwanin akija kwako asilale tu baada ya kamoja tu? Na we si wandoa ili kujikimu anaenda kwa dr kifimbo kupata mkuyati.
 

ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…