Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Pamoja na yote kumbukeni hali ya maisha siku hizi ni ngumu balaa. Mwanaume unahaha kucha kusaka ngawira na ukirudi nyumbani choka choki. Kwa ugumu huu huu wa maisha wanawake nao imewabidi kusakanya ngawira kama waume zao na wao wakirudi nyumbani wamechoka choki. Noma inakua pale siku haionekani

Mbaya yake sasa kwa masharubaro wa mjini ifika mida ya saper basi atatupia chipsi mayai (artificila) na pepsi afu unategeme acheze mechi ya maana huyu kweli!

Yote haya kwa ujumla wake yanaondoa attention kwa tendo na badala yake inakua hayo magumashi
 
Reactions: Sal
Samahani mkuu, hivi wewe ni he au she? Kuna jambo umejichanganya kidooogo hapo ndio maana nina wasiwasi juu ya uelewa wako kuhusu mpango mzima wa Soccer City. Ni hivi;- utaalamu wa mwanaume kumuandaa mpenzi wake hauna uhusiano kabisa na uwezo wa kurudia game zaidi ya mara moja etc. Utaalamu huu unamchango katika kumfikisha mwanamke Kigoma. Kwa upande wa pili, moja ya sababu inayoweza kumrudisha mwanaume kwenye game mara nyingi ni uwezo wa mwanamke kuirudisha akili ya mwanaume kwenye game tena. Hii issue ni topic ndefu sana, inahitaji wasaa maalumu mkuu...!
 

Nakuunga mkono kwa asilimia zote
 



I wish all ladies wangepita hapa waone haya maneno kuntu..............................

pamoja na sababu nyingi zilizotolewa hapa.........................

Hii comment ni muhimu mno wakaijua hawa dada zetu!wachawi ni wao wenyewe..................................
 


Kati kati ya machejo utasikia..................

hujamaliza tu/humalizi tu...............mie nimechoka bwana.....

au ,bwana usinishike hapo naumia....................

kwakweli maneno haya wengine yanatuondoa kabisa kwenye mchezo.!matokeo yake ndo hayo......

jibaba unapiga kimoja , unajilalia tuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We inaelekea umetembea nao wengi?
 
Hiyo ni kweli mkuu utakutana na mwanamke mwingine hata kuishika mb*** ni shida anaona aibu, akitoka hapo anaponda huwezi kumbe hana changamoto uwanjani.
 
kwa nini kwenye nyumba dogo wanakuwa na bao nyingi na wla si kwa mke wake? hapo ni upungufu wa maadili na tamaa zilizopita kiasi
 
Siri nyingi zimefichika kwenye vitabu,mapenzi nayo yanahitaji elimu kama zilivyo kazi zingine,kwa bahati mbaya tumeacha mafunzo ya jando na unyago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…