Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa mwanamke ndoa ni heshima na huwakoga wenzake kuwa kuna mtu kafika bei.
Kwa sisi wanaume ni something else. Si lazima kila mtu ajue kukunja kwako uso na mawazo tatizo ni binadamu uliyemuacha nyumbani
Hahahahaha, hii kali. Kuna rafiki yangu kaoa ila kila saa anapenda kutoa pete na kuichezea. Kuna siku ilipotea ikawa issue kwa madame! bahati ilipatikana, but mke wake akajua tu alivua sababu alikua anawinda (which was not even true).Kuvaa pete it is just a formality. Wangapi wanavaa pete ya ndoa lakini matendo yao ni balaa? Wanaume wengine wanadiriki hata kusema wazi kwa vimada wao kuwa, '' hii pete niliyovaa isikuogopeshe, au nivue ufurahi?''
Mie nijibu kwa upande wa wanawake. Ukiwa na pete ya ndoa unajipandisha grade, kitu ambacho wanaume waliooa hawajastukia manake wao interest yao ni kitoto vya chuo.
Afu wewe umeibukia wapi? Habari za jela?
Sio wote. Mi navaa ila sio kwa sababu hizo.Alaaa kumbe!!
Sio wote. Mi navaa ila sio kwa sababu hizo.
Inapendeza kidole changuWewe unavaa kwa sababu zipi?
Mie nijibu kwa upande wa wanawake. Ukiwa na pete ya ndoa unajipandisha grade
Inapendeza kidole changu
Yes. hiyo hiyo ya ndoa ndio inapendeza kidole. Nikiichoka nitavua.Lakini wewe si umeolewa....au?