Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
 
Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
 
Back
Top Bottom