Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Bwana weeh na me nataka kuja kukiona nimechoka kusoma sifa za kingozi
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
safi sana, waache kilakitu watembee hivyo na wachane nywele kama kawaida tu tuone sasa nani atakuwa mzuri
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Safiiiiiii BIG POINT
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…