Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Sikuombei mabaya, lakini unaweza kuzaa mtoto wa kiume sura mbaya kupindukia, utamkimbia? Sote tumeumbwa na mwenyezi Mungu na tunamshukuru kwa yote. Kikubwa ni pumzi, hayo mengine yatakuja kwa ziada.
 
Kigezo nambari wani tu mi iz sura ya kiume maana hata nyee hushuka kwa speed Kali kina cute boy hawanisisimui kabisaaa km yule wa mama Sabrina yani ngoma hainyevuki hata kidogo
i sec....
 
Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi


Wanaume inabidi tuwe hivyo, yaani na sura mbaya ili nyie mtupende na kutuonea huruma. Embu jiulize, uko kitandani unasuguliwa na mwanamme wa Dar dizaini ya Ben Kinyaiya au Martin Kadinda, utajisikiaje? Si utaona kama mwanamke mwenzako anakuchezea, si ndiyo? Basi ndiyo maana tumeumbwa na sura za kikatili ili tunapowasugua muwe mnapatwa na utamu asilia wa mwanamme.
 
Wenye sura nzuri sana wana...mapungufu....au vicheche au machoko


Remmy ongala alikuwa anachukua wanawake wazuri sanaaaa hadi...akaimba mwanamume mashine
 
Mleta mada umetuzarau sana ila watakuwa wale wa mikoani..maana sisi wanaume WA Dar tupo safi
 
Sura mbaya ndiyo mpango mzima, ndiyo maana mungu alijua kutofautisha sura ngumu na laini. Mwanaume akiwa na sura mbaya ni kachumbari kwenye mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…