Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Kwa niaba ya wanaume wote tunao jitambua kula tano mkuu. Kwa hoja yako nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…