cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Nimejaribu kujiuliza maswali haya nashindwa kupata majibu sahihi
1) akianza kukutongoza kama hamfahamiani,ukimuuliza vipi una mke ,mchumba au mpenzi
Majibu: kama ana mke,"Alinizengua tukapigana chini" kwa nini "Ni stori ndefu tukizidi kufahamiana nitakuja kukusimulia::: Na huku ana mke na watoto
Kama ana mchumba/mpenzi," Tulishazenguana miezi mitatu iliyopita
2,Mitandao ya kijamii- mwanaume ana mke na watoto ila status ameandika Single,complicated,not married
Ukiingia kwenye dp hakuna picha ya mke wake ,kama amejitahidi sana anaweka za watoto
Album hakuna picha za mke wake ,labda za watoto
3, Kama mpo maeneo ya starehe labda ukawa umekaa meza moja mnapiga mbili za moto na baridi wanajiongelesha na rafiki yake" Yule mke wangu alinisumbua nikaamua kuachana naye,sasa hivi nipo mwenyewe" Lengo ili akianza kukutongoza ukubali na huku ana mke na watoto
Hivi wanaume u-single unaisha lini?