Kwanini wanaume wengi wanapenda u-single?

Sasa nikwambie married uninyime papuch?
Hivi mtu akikutongoza akakambia nimeoa nina watoto 4 utamwambiaje?
Nenda kwa mkeo.lazima tuwaambie tuko singo,mkishatupa papuuch ndo twasema ukweliiiii
 
Write your reply...yesu atakaporudi
 
MI kiukweli nao kutana nao via socal network s uwa nawaambia ukweli tu kua mi namtu so uwa nawamega kisera
 
Usingo unaisha akikutongoza na ukakubali!!!
 
Sema wanaume wengi wanaahindwa kusell themselves kupitia mahusianp yao.....we we focus kwenye familia yako au relationship yako na girl wako mtreat vizuri outings nzuri.....mheshimu,mcare,mpende Fanya fantasy nyingi nje na ndani ya nyuma utaona wenyewe watakuja tu.....
 
Mwanamke ukimwambia ukweli jipange kujiunga chaputa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…