Kwanini wanawake hamna huruma?

No shade, but mkeo aliwahi kuwa housegirl? Maana hao ndo wana mentality ya vitaletwa tu...
Au anagawa mtaani, au anauza pia... 10ltr ya mafuta per month mhh
Sina uhakika na hili
 
Enzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,

Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,

Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]

Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,

Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]

"TUHESHIMUNIi VYAKULA"

"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"


SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,
 
Nimekupenda bure @marwadat ila sasa inabidi niache kula kitimoto [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…