Kwanini wanawake hamna huruma?

kwa mtu mwenye malengo ya mbele,kwa mtu asiye na malengo anaishi ilimradi tu ndo atasema ni ushamba,na pia nikupe siri tu hata matajiri unaowaona leo wanamwaga bia ni watu wa bajeti sana,yeye hata mia anataka ajue imetumikaje
Nah way
Fikiri kabla ya kutenda. Usilalamikie matokeo
 
Sikia mkuu unaishi wapi kama sio mbali na nilipo niwe napitia kila jioni kuuliza kama kuna kilichobaki bimkubwa awe ananifungashia.
 
Huyo mkeo mshamba tu, sasa mtajenga lini au tayari mnamjengo wa haja, wewe fanya kama umepungiziwa mshahara wako, punguza pesa ya matumizi nunua vya wiki moja kisha vya siku mbili mbili atajifunza, kuna watu wengine ni malimbukeni akipata hujisahau sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo shemeji Mama Alice asipokua makini utamla... Unaonekana Unamkubali sana Shemeji mama Alice

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Hapana siwezi kwanza kuna wakati tulitofautiana kabisa wakati huo nilikuwa chapombe haswa alinilaumu kwamba nasababisha mume wake awe mlevi 🤣 sasa nimeacha pombe lakini hatuna mahusiano mazuri lakini kwenye ubora wake namkubali. Niliwahi kuandika uzi kuhusu ugomvi wetu lakini mods waliufuta maana niliandika nikiwa chakali na hasira juu 🤣🤣🤣
 
Sikia mkuu unaishi wapi kama sio mbali na nilipo niwe napitia kila jioni kuuliza kama kuna kilichobaki bimkubwa awe ananifungashia.
Tumekubaliana nakomaa kumaliza tatizo watu wamefunguka mbinu za kutosha 🤣
 
Sometimes haya
Pole kwa changamoto mkuu tafuta vyombo(kontena ambazo zinaonyesha ujazo wa kitu zitamsaidia kwenye kupima vyakula)

Wengine wana hadi mizani ya jikoni ile midogo ya kidijitali inasoma ujazo wa kitu

Jaribu huenda ikamsaidia

Lakini usisahau kumchana kwamba huwa unaumia sana kuona chakula kinatupwa ovyo ovyo
 
Tumekubaliana nakomaa kumaliza tatizo watu wamefunguka mbinu za kutosha 🤣
huwezi kumaliza tatizo mkuu, ukimaliza tatizo mkeo ataona unamnyanyasa, japo hatokuambia, so kama ukijakuona vp utarudia ombi langu basi.
 
Nilishawahi kukaa na mwanamke mumwaga vyakula ,kwa kweli spend tabia hii.kuna watu wanahangaikia vyakula hatari,
 
Kila mwanamke anachangamoto zake anaweza akawa anajua kubajeti chakula akawa mtukanaji au mama makelele. We fuga mifugo wakipika kingi utaokoa pesa za kununulia mifugo vyakula.
 
Kwenye suala la matumizi mabovu na adabu msichoke kutupigia kelele, kwakweli acheni tu tuwaone mna gubu ila msichoke. Ikibidi tumieni mbinu za kimafia hadi somo lieleweke.
 
Dah! Good idea... Niliwahi kuona pia lakini sikutilia maanani kwa upande wangu. Hili wazo zuri sana
 
KILA mwanamke ana mapungufu yake kulingana na malezi yake
 
Bado ndugu yangu una taabu

Huwezi kunipangia la kufanya na la kuongea.

Ishi kwenye mstari wako and am doing my way
Na wewe usimpangie mwenzako,umenunulia simu na bando kwani?pambana na hali yako

Kama unapiga nyeto ni wewe huko,acha alalamike
 
Sio vizuri kutupa chakula, Ukibakisha cha mgahawani unaweza kuomba kufungiwa kwenye foil 🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…