Kwanini wanawake hawaitwi mwamba?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wawanajamvi?

Hili jina mwamba linatumika kama sifa, status kumsifia mtu.

Hata kwa wapiga mizinga wanapenda sana kutumia wakikusogeza na kukuandaa kwa kukuita mwamba, mheshimiwa, boss kabla ya kulipuka.

Lakini kwa nini halitumiki kwa wanawake japo kuna wanawake majasiri nao tungewaita mwamba kama Lady Jay dee, Posh queen, Fatima Shangazi, Salama, Wolper, Irene Uwoya, Mange.t.c.

Licha ya yote hayo kuna mwamba mmoja tu nchini hakuna mwengine bali ni FAM.

 
Mwanamke ni sehemu ndogo tu ya ubavu wa Mwanaume, Tunawezaje kumuita mwamba. 🤔?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…