Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli?
Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli.
Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi ukiingia na gia ya kutaka kumuoa, ukimdanganya kumuoa analoa chapachapa mana wanawake wengi au mabinti wengi wako addicted na ndoa na sio kama wanapenda kweli maisha ya ndoa lahasha bali wanapenda yale matukio ya kwenye sherehe na picha atakazopigwa ili aweze kuposti kwenye social media.
Mwanamke akikuomba pesa hata kama hauna kwa wakati huo we mdanganye tu kwamba baada ya wiki moja kuna pesa nitakua nimepata hapo roho yake nyeupeee na anakuwa na furaha mana anaamini kwenye uongo kuliko ukweli.
Ukitaka mwanamke akudharau mwambie direct kwamba sina pesa na usimpe miadi yoyote kwamba unashughulikia request yake aiseee hapo atakuona kama ng'ombe tu usiestahili kuwa nae kwenye mahusiano.
Ni kwanini hasa dada zetu wamekua wepese kumuamini muongo kuliko yule anaesema ukweli?
Je bibi zetu nao walikua wanaamini kwenye uongo kuliko ukweli?
Karibuni tuweze share experience