Hahahahaaa hebu mpe bonge la Thumb up huyo aliyekupata wakati bado uko motoooooo (18)aaah! 22 is not an age i can be proud of... sasa nipo katika age ambayo I am most proud... na hata nikionana nawee nitataja wa ukweli... for mpaka nikasimama na wewe ina maana ni mwanaume wa kweli... Na mwanaume wa kweli hataogopa age yangu....lol... alafu uzuri nilianza kuzaa at 18....lol
Sio huwa nasikia "Age ain't a thing but a number" na naamini mahusiano ya kweli yanajengwa kwenye ukweli au?sababu wanaume wanauliza sana ... na wanawake wengi hupendi kuwa na wanaume wenye umri mkubwa kuliko wao (mkubwa wastani)... sasa kama mwanamke ni mkubwa kuliko wewe lazima atafichaa .. ..........
<br /><font color="#0000ff"><span style="font-family: comic sans ms"><b>Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?</b></span></font>
<br />siyo kwamba wanaishi kwa ajili ya wanaume, ila wanawake wanatambua kuwa wanaume ni wachache kulinganisha na wao. mfano sisi kwetu tupo wanaume wanane kati ya watoto 21. kwahiyo wanachofanya ni kuchenza game of chance.
Sijasema wanadanganya nimesema hapendi kusema umri wao, utafiti? Ingia facebook katika orodha ya marafiki zako pitia profile za wanawake halafu uone ni wangapi wameandika umri wao (simple utafiti)anafahamu vipi kwamba wanadanganya?? utafiti wako umefanyika wapi?
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
Nasikitika mchezo wa kibaba baba umeuanza mapema mnoaaah! 22 is not an age i can be proud of... sasa nipo katika age ambayo I am most proud... na hata nikionana nawee nitataja wa ukweli... for mpaka nikasimama na wewe ina maana ni mwanaume wa kweli... Na mwanaume wa kweli hataogopa age yangu....lol... alafu uzuri nilianza kuzaa at 18....lol
Ukiona jamaa anauliza umri labda anataka kuchukua mzigo jumla. Punguza ukali ndo mwanzo wenyewe huo.Mimi ukiniona nikakutajia umri wangu utakataa, na wewe unayependa kuuliza umri wa wenzio unatoa birth au death certificate? Maswali mwengine ni Primitive/village flavour style!
Unfortunately primitive is the opposite side, whatever s/he is anataka kujua how to and when to treat you on your birthday na wabinti wa siku hizi mnavyopenda hizo! Sa kama humwambii how will he know?Mimi ukiniona nikakutajia umri wangu utakataa, na wewe unayependa kuuliza umri wa wenzio unatoa birth au death certificate? Maswali mwengine ni Primitive/village flavour style!