Kwanini wanawake hawapendi kusema umri wao?

Hata wa below 25 huwa hawapendi ila inategemea ukaribu wako na mlengwa.
Wengine hawapendi kuonekana wakubwa sana au wadogo sana.

Musimo nikutajie umri wangu?
Usinitajie hapa utantajia siku nikikuuliza tukiwa wenyewe tuuuuu
 
"While women dont tell their age, men prefer not to tell their wage" (source: mwalimu wangu wa evening class)
 
"While women dont tell their age, men prefer not to tell their wage" (source: mwalimu wangu wa evening class)
Coz men don't tell their wage, that's why women don't spend their wage in the family
 
Hizo ni tamaduni za kimagharibi. Mfano,kumwita mwanamke señora inamaanisha ni heshima fulani hivi na ana umri mkubwa kidogo. Hii hawapendi kabisa na hivi hawapendi kuitwa jina hili.Wengi wao hupenda kuitwa niña yaani mtoto(wa kike). Kuna mwanamke hapa nilimfananisha na mama yangu akakataa katakata akasema yeye ni kama sister angu lakini umri wake ni zaidi ya mama angu. So hii inaendana kabisa na wanawa kekukataa kuzaa watoto wengi kuogopa kuzeeka. Haya ni yale mambo yetu ya totoz wanajua wanaume tunapenda totoz.
 
Yote hiyo ni kutokana na kutojiamini............
 
ni pande zote hata kuna baadhi ya wanaume wapo hivyo.......
 
na kweli wengine hata shikamoo hawataki eti unawazeesha khaa huwa nawashanga hasaa
 
kimsingi umri mkubwa kwa mwanamke ni sumu. kadri ck zinavyozidi kusonga mbele ndipo pale hujihisi kama vle bahati nayo inapotea ama kama hakuwahi kuwa ktk ndoa ndio kabisaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…