Kusema kweli sio tabia nzuri kumwuliza mtu "personal issues" kama vile umri na dini. <br />
Kwa nini umwulize mtu maswali hayo? Ni tabia ambayo wanaume wa Kiafrika<br />
tumeizowea na sio nzuri. Unamwuliza mtu umri, dini, ameolewa au la ili iweje?
au kwa "sentimental interests". Ikiwa ni hili la mwisho, umri huwa si kikwazo<br />
kwa wapendanao.