Kwanini wanawake mnapenda fanta passion

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Kila nikimtoa out mtoto wa kike kama sio mtumiaji wa pombe basi ataagiza fanta passion na kama haipo utasikia anataka mo passion. Kuna siri gani kuhusiana na vinywaji hivi vya passion ni kwamba mnapenda haya mapassion au aje?
 
Kwa sababu ina rangi nzuri ya kike kike.

Una swali lingine?
 
Hahaaa! muda si mrefu pia wataanza kuulizwa kwa nini wanapenda sandals zenye manyoya juu
 
Kila nikimtoa out mtoto wa kike kama sio mtumiaji wa pombe basi ataagiza fanta passion na kama haipo utasikia anataka mo passion. Kuna siri gani kuhusiana na vinywaji hivi vya passion ni kwamba mnapenda haya mapassion au aje?
Hao wanaopenda fwantaa unawatolea wapi mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…