Kwanini wanawake ni bahili sana?

Sema na wewe nawe.Yaani mdada wa watu katoka huko kwao - mkoani - anakuja kwa ajili - wewe hujajiandaa. Angekuwa ni mgeni wa kawaida bila shaka ungehangaika chakula, malazi na kaunafiki kwingi.
Wanawake kweli wanaka-ubinafsi lkn kuna cases na cases.Sometimes tusiwachukulie poa sana wanawake wetu - mtu kakwea bus kajitahidi.
Sometimes wanahitaji tu kuhisi wanapendwa - usichukulie maisha serious kihivyo.
Utu- uzima ni pale unajua kabisa huyu anadanganya but unampa tu..ndivyo walivyo.
Kingine kwani kula bei gani?? Alihitaji 7M??. Pesa makaratasi - tutafute pesa WANAUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…