Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Kwanini kazi ya kufua nguo inaonekana kuwa nyepesi sana kwa upande wa wanawake...siri ni nini?
Mimi ni mtu wa mazoezi lakini kufua nguo mbili huwa nachoka haswa, lakini utakuta mdada anafua furushi la nguo, hizo nguvu wanazitolea wapi?
Mbususu na kufua ndio zitakuwa sababu za msingi sana mimi kuoa.