Kwanini Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubembelezwa?

Kwa sababu ni waafrika wanapenda kuzunguka kama mababu zao walivyokuwa wanazungushwa na wazungu kipindi cha ukoloni

CC Zero IQ
 
umenikumbusha youtube channel ya adrian gee, anazunguka marekani kote anauliza wanawake maswali kama, unaweza kuwa mpenzi wangu ? ,tunaweza kuwa wote usiku wa leo nk majibu anayopewa wengi hukubali na baadhi humjubu majibu ya kuridhisha in short mzungu ni kiumbe wa tofauti sana.
 
Kumbembeleza mpenzi wako raha sana,yani hadi inawafika wakati huoni macho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…