Kwanini wanawake wa mikoani hutamani kuolewa na wanaume wa Dar

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Wakuu wanaume wa Dar tumeshambuliwa sana humu mjengoni kufikia hatua ya kuambiwa sisi ni waoga, tuna upungufu wa nguvu, legelege na majina mengi mengi tu ambayo watoto wa wakulima wa huko mikoani wamejisikia kutuita.

Lakini nimejiuliza swala hili mara nyingi sana, KWANINI WANAWAKE WA VIJIJINI WANATAMANI TUWAOE TUJE TUISHI NAO MJINI? yaani kijana wa Dar unapoamua kwenda likizo kupumzika na kusalimia ndugu basi katika kijiji hicho ulichofikia wanawake wa hapo upagawa na wewe, kama kina Kim nana huku mjini wanavyopagawa na vibabu vya kizungu.

Mimi mwenyewe katika vijiji nilivyowahi kufika hapa Tanzania kazi ya kutembea na hawa wadada ilikuwa rahisi enzi hizo kwani ILE KUTOKA KWANGU DAR KULINITAKATISHA MBELE YA MABINTI WA UP COUNTRY.

Najiuliza kwanini wanatupa nafasi kubwa mbele ya wapiga jembe? Tena hata kama bwana wake mpiga jembe hana mkwanja wa kutosha binti uwa radhi amuache huko vichakani aje uishi naye town hata kama ujajipanga kivile kimaisha.

Nini kinawapagawisha kwetu kuwapita wanaume wa MIKOANI?
 
Dar ni njia panda ya ulaya
 
wanawake wa kijijin wanapenda kuolewa na wanaume wa Dar ili wawanyanyase sababu wanaume wa Dar wachovu.

Takwimu zinaonyesha wanaume wananyanyaswa sana Dar ila hawasemi kwa aibu
 
si wanajua kampan ya saluni na umbea itakuwepo, halafu wakizingua kamwanaume ka dar unakuzibua tu kama unachapa mdada mwenzako. Nani hapendi mdebwedo?
 
Mwanamke kiasili anapenda raha, starehe, na kubembelezwa..bila kusahau kudekezwa.....mambo ambayo ni vigumu kufanyiwa bush zaidi ya ubabe na vipigo...kila sikun tunasikia na kuona kwenye vyombo vya habari jinsi vijana wanaoiita majasiri wanavyowafanyia wake zao matendo ambayo sio ya kibinadaamu...vile vile vijana wa bush somo la utanashati limewapitia kando...mtu asubuhi akidamkia shamba kurudi ni mpaka jioni ambapo anakimbila kula na kujitupa kitandani na majasho ya kutwa nzima ya shambani...unakuta anatoa harufu kama ya mbuzi.....sasa mwanamke wa namna hiyo akikutana na kijana mtanashati wa DAR huku akiwa ananukia pafyumu..lazima mdada aanze kujishaua tena kwa kumroga unamwangushia mwekundu wa msimbazi......alafu unateleza hapo lazima uondoke na mtoto hata kwa kutoroka..........
 
Are you sure??????? sa kama yupo dar unataka mimi niolewe wapi tofauti na dar??
 

Siyo wote wanawapenda labda sana sana iwe hao wa huko kijiji cha kazulumimba ulikotikea. Na hata wanawapenda sababu kubwa ni kuwa mnafanana sana
 
Wanaume wa dar ni goigoi kwa hiyo hata mdada akichepuka hafanywi lolote....ni hilo tu wanapenda
 
Tatizo mnakimbia hata pabya road na mshinda jimu kuvutia warembo hahahahhaah
 
Kuolewa na mwanaume wa Dar ni privilege .

Mwanaume wa Dar utapata chips mayai utakapo.

Atakupeka english course!

Atakupeleka Mlimani City kulamba ice cream!

Mtaenda Nakummat kufanya shopping!

Mwanaume wa mkoani ambapo mi. Nakuita huko kijijini ananunua vitu " Soko Mjinga ,Matejoo, Ngapa' Majengo kwa mtei' ,sokoni one ,etc hajui super martket!

My Take:-
Dada kama we umekunywa maji ya kutosha kama Rey,na huna Bwana Njoo Dar,panda hapa mliman city,shika fhnguo hata ya kabati then Jifanye ya gari ,utapata bwana
 
Wanaume wa dar wote ni kama wachezaji wa mpira wanaotokea sub up to 87 mins i mean wanawake wa mikoani wanawapenda kwa sababu ni magoi goi sana ukitofautisha na mangosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…