Kwanini wanawake wachache hawapendi wake wenza, Nahitaji mke ila aje na anayefikiria anaweza akawa mke mwenza

Kwanini wanawake wachache hawapendi wake wenza, Nahitaji mke ila aje na anayefikiria anaweza akawa mke mwenza

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa upendo na furaha na watahudumiwa wote kama walivyo kwa vyovyote, sina uwezo mkubwa sana kivile kama matajiri wakubwa
Umri wa wake umri kuanzia 26 - 36
Dini yoyote
Kabila lolote
Wawe na mtoto 1 tu kila mtu au wasiwe nao au wawe ma tasa yote sawa

Mimi mhitaji
Umri miaka 36
Mrefu
Kazi mjasiriamali
Naishi Morogoro
Nina viwanja ndio najenga sasa hivi
Sina mtoto

Karibuni
 
Miaka 36 hujapata hata mmoja unawaza wawili? Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.

Dawa ya uke wenza ni mume mwenza tusiachane week au siku 3 uko zamu huko unakula raha napigwa na baridi kisa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom