kwanini wanawake wakibeba mimba nje ya ndoa wanapenda kutaarifu kwa meseji badala ya kupiga simu ama kuongea uso kwa uso?

kwanini wanawake wakibeba mimba nje ya ndoa wanapenda kutaarifu kwa meseji badala ya kupiga simu ama kuongea uso kwa uso?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
 
Kwamba?.

1691261664105.jpg
 
Hakuna mimba ya nje ya ndoa kwa mwanamke anayejielewa tuanzie hapo!
 
Back
Top Bottom