R-K-O JF-Expert Member Joined Jun 27, 2023 Posts 482 Reaction score 2,178 Aug 24, 2023 #1 Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Aug 24, 2023 #2 Kwamba?.
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Aug 24, 2023 #3 Hautaki kabisa dada zetu wawe na aibu za kike kabisa Mkuu, kwanini?
Superintendent kimura JF-Expert Member Joined Feb 24, 2023 Posts 333 Reaction score 1,316 Aug 24, 2023 #4 Hata wakati wa kuomba hela 89% wanatumia sms badala ya kupiga simu Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakati wa kuomba hela 89% wanatumia sms badala ya kupiga simu Sent using Jamii Forums mobile app
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 24, 2023 #5 Hata kutuma nayakutolea wanaombaga Kwa sms mkuu. Hvyo ngoma droo...
Amicus Curiae JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 5,351 Reaction score 7,639 Aug 25, 2023 #6 Mgeni wa Jiji said: Hautaki kabisa dada zetu wawe na aibu za kike kabisa Mkuu, kwanini? Click to expand... [emoji28][emoji28]
Mgeni wa Jiji said: Hautaki kabisa dada zetu wawe na aibu za kike kabisa Mkuu, kwanini? Click to expand... [emoji28][emoji28]
Amicus Curiae JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 5,351 Reaction score 7,639 Aug 25, 2023 #7 edon66 said: Hata kutuma nayakutolea wanaombaga Kwa sms mkuu. Hvyo ngoma droo... Click to expand... [emoji1][emoji1]
edon66 said: Hata kutuma nayakutolea wanaombaga Kwa sms mkuu. Hvyo ngoma droo... Click to expand... [emoji1][emoji1]
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 1,068 Reaction score 3,507 Aug 25, 2023 #8 Hakuna mimba ya nje ya ndoa kwa mwanamke anayejielewa tuanzie hapo!