Wakuu,
Kwanini wanawake wakishikwashikwa maziwa yao yanakuwa makubwa na mengine yanalala kabisa lakini wakati huo huo ukiwashika makalio hayawi makubwa?
Kwa maana ukichukulia kigezo cha sensitive bado makalio ni sensitive part kuliko sehemu nyingine yoyote ile ya mwanamke na ndio maana baadhi ya shule wamepiga marufuku kupiga wanawake bakora za makalio kwasababu wanawake sehemu hiyo ipo very sensitive ukigusa kidogo tu unaibua hisia za mapenzi.
Hahaha, nyuzi yako imenifanya kwanza nicheke lakini imenifanya nijiulize mpaka nimepata jibu kama ifuatavyo;
Maziwa ni sensitive zaidi kwa sababu zifuatazo;
1. Ni kitu kipya kwa wote, males and females, maana hutoka baada ya binti kuwa na umri flani I.e. miaka 12 hadi 14.
2. Yapo mahali ambapo unapokutana na mtu face to face ndo unayaona, kwa hiyo yanashikwa zaidi kuliko makalio.
3. Naturally maziwa yanaanza yakiwa madogo then yanaongezeka.
4. Na hata yasiposhikwa kuna wakati lazima yafikie ukubwa wake labda tu kwa ambao hawatanyonyesha kabisa.
Nikihamia upande wapili;
1. Makalio ni more genetic, wenye makubwa haya na wengine ndo hivyo.
2. Makalio yalishashikwa sana na waliomlea n.k hata kabla ya adolescence.
3. Kikubwa na cha mwisho wanaume wengi hupenda kushika na kunyonya maziwa na si makalio.
Naomba kuwasilisha