Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Naomba uzi uishie hapa.ukishakuwa na hela wala hutawaza hayo
Kiuhalsia mnawafanya wajiskie hivyo sababu mnawatukuza sana.Ndugu wana Jf poleni na majukumu ndugu zangu.
Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza...
Kumbe wako hivyo, kimbia hao wanaokuzunguka huku wengine hawako hivyo😅Ndugu wana Jf poleni na majukumu ndugu zangu.
Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza...
Uzi ufungweKiuhalsia mnawafanya wajiskie hivyo sababu mnawatukuza sana.
bora aelewe tu wanawake wa sasa wanawaza maokoto tu!Naomba uzi uishie hapa.
Magonjwa ya akiliNdugu wana JF, poleni na majukumu ndugu zangu.
Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Kumekuwa na sintofahamu baina ya hawa dada zetu hasa pale tunapo omba gemu na wao kuamua kutoa, ndugu wana JF dada zetu hawa wamekua na mtazamo kwamba kutupea ni sababu ya wao kutuonea huruma na sijui kwanini wanakua hivi.
Leo naomba tufahamishane kinaga ubaga. Je, kutupea ni kutuonea huruma au ni haki yetu kama wanaume kupewa mzigo, na kama ni haki yetu kwanini basi wanaona wanatuonea huruma kutupea kipochi manyoya tukinyandue?
Karibuni!