Kwanini wanawake wanaamini wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi?

Mi nikiwa sijiskiii hii huduma hua sitoi licha ya kelele kibao.
 
Yani wanawake sijui wakoje sio hilo tu, unatoka home saa 1 asubuhi unamwacha nyumbani then unarudi saa mbili usiku ukishika tu remote na kuadili channel pengine uangalie michezo kosa wakati yeye kashida na TV kutwa nzima.

Ukipitia huko pengine uchek match kidogo tatizo utaambiwa kwani kwako huna TV yani hawa viumbe ni shida
 
Mjitumbua woote! ule? tena una kwaruza ivi na visiki! plus vihips vya kishkaji! daaa! jamani heee! nijivunge mie! maweeee!! hata km naumwa! sijui natoka kuchakata huko porini, Maria wangu! akiniomba tu faster nampa! au hiko kimke chako kimechakaa flani hivi, ajili ya kukapa kazi za kuchakata viazi vya chips! kwani kakoje hebu picha! tukushauri
 
Atalazimisha sana na ata nikizidi kukaza ataleta maneno maneno mengi ya kunilaumu "sitaki kwa sababu nimetoka kukutana na malaya zangu huko, sitaki kwa sababu labda nimemchoka na Nk."



Cc Zero IQ
Poleni sana mvumilie ndivyo walivyo...
 
na wewe acha kuongozwa na nyege mkuu, unadhani watu wanambato muda wote tu? Na kazi zinatofautiana.
 
Mwanamume ukianza kuwaza hivyo awazavyo zero iq umekombolewa tayari.
Kila mtu aweke maslahi yake mbele basi.
Maelewano kwenye mahusiano iwe Siyo kupitia upendo kwa sababu wanawake hawawezi kupenda bali iwe kubadilishana maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…