Nimekuelewa uzuri sanaNi bwana sio Bwana.. Au tuite kwa kihaya My lord.
Kuita mtu my lord ni ka level Cha kuwa submitted kwenye Authority ya Mungu ambayo iko rested onto you Man.
Then what happened,
now days there's no real leadership to submit to, na wengi wenu hamjui how to live with a virtues woman. That's why we shift to your seat to take ur responsibility.
bwanaee sijui kama nitaeleweka🥺
Wivu tu, nyoka mwenye matege wwAkupe makande 😀
Nyoka ana tumiguu?Wivu tu, nyoka mwenye matege ww
Kama hujawah kuona miguu ya nyoka, bc ww bado sana kwenye masuala ya uumbaji 😎Nyoka ana tumiguu?
Bwana ako nani?Mimi naona majibu unayo tayari! Sasa sijui tunaongezea wapi🤔
Bwana YesuBwana ako nani?