Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao?
Ukiuliza wengine wanasema ni upendo, kweli upendo unaweza kufanya ukahatarisha maisha yako kwa ajili ya mpenzi?
Hii sababu ya upendo iko shallow sana
Karibuni kujadili