Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wewe inaonekana ni feministWakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao?
Ukiuliza wengine wanasema ni upendo, kweli upendo unaweza kufanya ukahatarisha maisha yako kwa ajili ya mpenzi?
Hii sababu ya upendo iko shallow sana
Karibuni kujadili
feminist hawatauelewa huu uziWakuu,

Vipigo vingi vinatokana na midomo ya wanawake.Wakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao?
Ukiuliza wengine wanasema ni upendo, kweli upendo unaweza kufanya ukahatarisha maisha yako kwa ajili ya mpenzi?
Hii sababu ya upendo iko shallow sana
Karibuni kujadili
wanawake wengi huwa hawataki ndoa iliyotulia au mwanaume aliyetulia kwenye ndoa asiye na mawaa,wenyewe wanataka kuwe rapsha na purukushani ya maneno,na mwingine ukimpiga ndo unamtoa ugwadu anazidi kukupendaWakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao?
Ukiuliza wengine wanasema ni upendo, kweli upendo unaweza kufanya ukahatarisha maisha yako kwa ajili ya mpenzi?
Hii sababu ya upendo iko shallow sana
Karibuni kujadili
Ndo mwanzo wa nyie wenyewe kuongeza single maza mtaani kwa ushawishi wenuWakuu,