ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa 10000 kwa siku ila ana survive kinyama kuliko wewe anakuwa na vitu vingi, perfume, mazagazaga kibao.
Shida kubwa ni nini? Kwa sababu tunawaonga sana kiasi kwamba hawatumii hela zao sana na shida nyingine ni sisi wanaume tunatumia tu hovyo pesa zetu kwenye kula bata kupita uwezo wetu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.