Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako!

Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
Si wote...

Si wote...

Wasiotaka kuamkiwa wana sababu zao:-
-Hawapendi kuzeeshwa/uzee
-Wako wanaopenda dogodogo sambamba na dogodogo kuwapenda hao.

Binafsi siamkii hovyo...naangalia wajihi....

N.B Siamkii wamama wenye 40s-55s....[emoji1787]
 
Mshamba ni wewe ambaye unafikiri kila mtu unayemsalimia lazima aitikie salamu yako.
Ni bora upewe salamu alafu ukae kimya tujue hukutaka kuitikia salamu. Sasa watu wazima hovyo unamsalimia labda shikamoo lenyewe linakujibu habari za sahizi.
 
Wala sio wanawake tu, hata wababa wengine ukiiamkia bila aibu linakuuliza “Unataka kuninyima nini binti?” 😏😏😏
 
Back
Top Bottom