Mwee kumekucha tena
Yeah I had to save my energythats all you can say?!
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.
Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,
Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.
Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae

mmeanza tena haya ni ka sababu hauna wanaume wa kuwaoa
nimekuelewa kwa kupitia signature yako.....
Kuolewa Sio Lazima ila inaongeza Heshima. KUWA NA MUME KUNA HADHI YAKE.
Habari zenu.
Jana nilikuwa mgahawa fulani hapa mjini. Katika story story kuna dada akaanza kulalamika umri unazidi kwenda na hawapati mwenza na wengine wanaanza kulalamika pia juu ya kutopata wenza.
Nahitaji kujua ni kwanini hawaolewi?
Naomba tuchangie mada