Nani tena kairudisha hii mada?Nimeirudia yote na kujishangaa kile nilichochangia mwaka jana,lakini anyway nitachangia tena.Haya mambo wala sio siri yapo na yanatokea kila siku katika jamii zetu,kama miezi miwili iliyopita rafiki yangu kaja kunitembelea ana ngeo,kumuuliza kulikoni ananiambia we acha tu,siku nimemtembelea nyumbani kwakenikamuuliza mkewe jamaa anaendeleaje,mkewe anajibu mi sijui muulize yeye mwenyewe nilipomdadisi jamaa kwa kina akaniambia kapigwa chupa ya wine ne mkewe kia alikuwa anangangania tigo.Binafsi pia imenitokea zaidi ya mara kumi ambazo nimekuwa nikishawishiwa na patners tofauti na hapo ikumbukwe kuwa si wa umri mmoja.Ni wa kuanzia miaka 16 mpaa 54 na ninashukuru mara zote niliweza kushinda vishawishi na kuvunja mawasiliano.Na kwa mtazamo wangu nilijifunza kuwa tabia hiyo inatokana zaidi na ushenzi na laana tu iliyomjaa muhusika inayopelekea ajihusishe na ufirauni huu.Ikiwa wewe kama wewe utasimama imara na kusema sitaki uchafu huo hata iweje hautaushiriki na hakuna atakayeeza kukulazimisha.Nashindwa kuelewa kama kweli kuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kuchovya uume wake kwenye mavi tena ya mtu mwingine,ptuuuu.Tubadilike matendo haya ni ya kukemewa kwa nguvu zote na kwa yeyote anayeshiriki uchafu huu naweza tu kumshauri akawaone wataalamu wa magonjwa ya akili kwani hajachelewa bado na nina imani wanaweza kumsaidia..