Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Mimi Ni mwanaume lakini nakuunga mkono asilimia,kwa kweli mwanamke hua haombi kuingiliwa kinnyume,Bali mwanaume ndio just anaomba,anashawishi,anabembeleza na ikibidi huwa analazimisha.
Naungana na wewe pia mbona Kama kwa Jambo hili mwanamke ndio mkosefu,vipi kwa wanaume wanaoingikiwa kinnyume nao wanaingiliwa na wanawake?, Hapana,Ni wanaingiliwa na mwanaume.kwa hiyo sisi wanaume ndio chanzo Cha yote.
Hata mwanamke akionesha Nia,Ni ama katundishwa na mwanaume mwingine and kutaka kumfurshisha mwanaume.
Hakuna mwanaume anaetaka kumfurshisha mwanamke kwa kumfanya nyuma,Bali Ni kutaka kujifurahisha yeye mwenyewe.
Hata wapenzi wawili au ndani ya ndoa,ikitokea mwanamke akaomba kuliwa nyuma hiyo Ni kesi kubwa na hawezi kuomba hiyo huduma.wengine huishia kupigwa,kuachwa ama kutukuzwa.
Lakini sisi wanaume ndio waanzilishi wa kuomba watu wanaomba kwa wapenzi wao na hata wake zao.kesi hizi Ni nyingi Sana me kuomba taking la mpenzi au mke.
Kwa hili nawatetea wanawake,chanzo Cha tatizi Ni sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
globalization mkuu sio makosa yako na maisha yanachangia pia na mitandao pia na picha za utupu nazo ni kwere yani kunasababu nying sana sema ni ngumu kuzitoa zote hapa kwahyo ni mambo mengi ila jinamiz hli ni waume na maisha yetu ya sasa ya sodoma na gomora
 
Utafiti huo una matokeo hafifu ambayo hayawezi kujumuishwa kwa jamii ya kitanzani. Maana ilichagua maeneo( population) ambayo ndio vinara wa Umalaya na wanaojiuza.
 
Na kule ulaya ambako mufme jike unaenda sambamba na Mfumo Dume tatizo ni nini?? Maana hapa unataka kuhamisha tatizo ionekane huku kwetu ni sababu ya mfumo dume.
 
We jamaa acha uongo hizo michezo una husudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yanafanyika sana ndani ya ndoa za watu
Kuna kisa kimoja jamaa anampenda sana mke wake ila ikawa ugomvi pale mke wake anapo taka jamaa amle ndogo. Yaani mwanamke ndo anataka hayo mambo. Walafikishana hadi kwa wazee kabisa. Lakini cha kushangaza mpaka sasa ndoa yao bado ipo na wanandoa wazuri tu. Hayo unayo waza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuwaachie wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ya kitajwa mambo ya kinyume na maumbile lazima uhusishwe ukanda wa pwani kwa kisingizio cha uwepo wa waarabu na machotara wa kiarabu. Ni dhana dhaifu na potovu mnoo, mambo haya yapo na yatakuwepo hata maeneo ya ndani ya nchi zote za Africa mashariki kwakuwa watu wa maeneo tofauti hujifunza tabia kulingana na maingiliano yao na watu wengine.

Hivi mbataka tuamini Arusha, Mwanza, kigoma na kwengineko hakuna vitendo vichafu vya namna hii. Hii tabia ni mbaya na haifai katika jamii zote duniani hivyo pasiwe na hoja kuiegemeza na jamii fulani wakati kuna jamii ndio zinaathirika zaidi kulikoni hizo zinazotolewa mifano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…