Unataka utafiti wa aina gani tena? wadau wamesha eleza kuwa siku hizi freequency ya wadada/wamama kuliwa 071...,065... imekuwa kubwa. Au unataka real figure???
Unataka utafiti wa aina gani tena? wadau wamesha eleza kuwa siku hizi freequency ya wadada/wamama kuliwa 071...,065... imekuwa kubwa. Au unataka real figure???
Zipo pampas za wakubwa.Tembelea wodi za wailioathirika na ukimwi utaziona.Sinema zinawadanganya sana dada zetu na belief kwamba eti mtu akimpa jamaa m$%$#$# ndo hawezi kumuacha hasa katika zama hizi ambazo maisha yanazidi kuwa magumu na yasiyo na dalili zozote njema.wanafanya kila mbinu (ndumba mojawapo)ikiwemo ya kutoa KIJAMBIO ili jamaa apagawe na aendelee kumshika,ukiwaona kitaa utasema watu wa maana kumbe??mi nawafahamu kama wanne hivi na wa drive mashine za ukweli hapa dar.HAWAJUI LONG TERM MADHARA KAMA SEHEMU KULEGEA NA KIMBAS KUTOKA BILA RESISTANCE..WATU WATAJINYEYA SANA MITAANI LABDA KAMA KUTATENGENEZWA PAMPAS ZA WATU WAZIMA
Inasikitisha lakini kweli sababu ni kuwa wamelegea?
Zamani ilikuwaje?
Nafikiri ni usasa unaoletwa na utandawazi,kupenda maisha ya juu na ushawishi wa wakaka wenye pesa zao!
Wakaka wengi wanasahau siku moja watakuwa au wana watoto wa kike! Na kwa wale wakristo kumbukeni Mungu ameahidi " NAMI NAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO<HATA KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE CHA HAO WANICHUKIAO'. Hivyo jua raha unayoitafuta kwa mtoto wa mwenzio itakuwa kuwa kero kwako ukijua binti yao/mjukuu wako anafanyiwa hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tobaaa.... Masanilo!
Life is good with tiGo!
Life is good with tiGo!
mmmh! na wewe kama ni mtu wa mungu ucyependa mambo macahafu kwanini ujaribu nyuma? na wakati mungu aliweka mbele kwaajili ya sghughuli hyo? kweli tumekuwa wanyama zaidi ya wanyama wenyewe maana cjawahi kumuona ng'mbe anaingiza kusikosiku hizi bwana na wao wanakwambia kabisa nifanyie kwa nyuma. Anakwambia tujaribu. Ukijaribu anakwambia siyo hivyo fanya taratibu kwanza.
mmmh! na wewe kama ni mtu wa mungu ucyependa mambo macahafu kwanini ujaribu nyuma? na wakati mungu aliweka mbele kwaajili ya sghughuli hyo? kweli tumekuwa wanyama zaidi ya wanyama wenyewe maana cjawahi kumuona ng'mbe anaingiza kusiko
Kumbe hata Twiga wanatumia 071..., 065...
nakuunga mkono Pretty, I break up with my bf bcoz of this dirty thing, so this means wanaume ndo wanapenda na sometimes wanalazimisha but kama mdada una msimamo na unajiamini, just let him go kuliko kufanya kitu kama hicho lol!!..........No Mzizimkavu badilisha huo usemi wako, sio wasichana wengi bana ni wachache tu ,wanaopenda kuiga kila kitu kutoka western countries.
Mwanamke kuingiliwa nyuma ni laana, tena wewe msichana ukiona mpenzi wako anataka nyuma hakupendi huyo. Mwanaume anayempenda mke/mpenzi wake hata siku moja hawezi kuomba nyuma.
Wewe msichana ndio kiini cha mabadiliko, mwanaume akitaka nyuma kataa kata kata. Hata akitaka kukuacha ni bora muachane kuliko kutoa nyuma. Tujifunze kuonyesha misimamo yetu kama wanawake.
Yaani watu wanashabikia hiyo kitu sijui mnaita tgo utadhani ni jambo jema........So disgusting naogopa nisijezoea nikaona ni kawaida........
Hujanisoma kabisa mkuu. Ninamaanisha nisije izoea masikioni mwangu halafu nikaona ni kitu cha kawaida. Kuna msemo unasema kwamba jambo likihubiriwa sana hata kama ni baya mwisho huonekana ni zuri.Kwa hiyo umesha jaribu, sasa unachoogopa ni mazoea...