Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?


haha, kwani ukimwasha taa na kumulika penye giza unakuwa umelihukumu giza? tusikimbilie kifungu cha "usihukumu usije ukahukumiwa" ili kijificha tusikosolewe pale hoja zetu zinapoteleza.

but my opinion was that, kuita viungo vya mwili vilivyoumbwa na Mungu mashimo ni kuvi-degrade kwa mtazamo wangu (naeza kusahihishwa) so nimeshauri tu kuwa tumhifadhie Mungu utukufu wake na tusimfananishe na mchimba mashimo! mbali na kukumbusha haja ya kuwa kimaadili na kuonya kuwa the bottomline ya maadili iwe kumhifadhia Mungu utukufu wake, hapo hukumu yajo ni ipi hasa tukirejea katika mstari uliounukuu? labda uspecify zaidi mkuu
 
Jamani MUNGU Baba wa mbinguni alipotuumba, alituumba kwa makusudi yake, na kila kiungo cha mwili alikiumba na kukiweka pale kilipo kwa makusudi yake ili hicho kiungo cha mwili kiweze kufanya kazi sawa sawa na mapenzi ya MUNGU kaajili ya utukufu wa MUNGU.

mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ".....amemuingilia fulani kinyume na maumbile nk, nk,nk...." na hapa wakimaanisha kuwa amefanyiwa tendo la ngono kupitia mata£$%^&*****....ni, hususani mku*****&^%$£+++***....duni.

sasa swali langu ni hili, hivi kinyume na maumbile ni lazima iwe huko huko mku****""""***....ni????? vipi kuhusu:

1. wanaokulana denda??? kwani MUNGU aliumba midomo iingiliane kimapenzi...???

2. wanaoingiziana sehemu zao za uzazi, (na hapa namaanisha ub*****............ au ku....******a) katika midomo ya wenzao. je, MUNGU aliumba sehemu hizo ziingizwe midomoni...???

Nawasilisha...................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaazi kweli kweli...
Mwili ni wako...utumie as you see fit maana hasara na faida zote ni zako wala sio za jirani yako!!
 
tumefikia mahala tunaanza kumlaumu mungu kwa namna alivyoumba
 
Shagi hiyo rangi uliambiwa ndo tutaona vizuri au??
Ujue ndo umeharibu kabisa haisomeki weka rangi ifaayo bana
Mbwembwe za nini
 
Aaah.,nani mkweli kuhusu jambo hili...tunasingzia mengi mara utandawazi,tabia ya mtu hiyo
 
ndio fasheni maana siku hizi hata binti akiolewa akiwa bado bikira ni jambo la aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…