Kwanini Wanawake Wengi wa Vijijini Sio Wazuri (Not Beautiful)?

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
5,570
Reaction score
10,517
Wakuu heshima kwenu

Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana kwa Wanawake wa vijijini)

Kwahiyo wakuu naomba kujuzwa kama kuna sababu yoyote ya kisayansi au Kijamii kuhusiana na hali hii

Natanguliza shukrani kwa majibu yenu mazuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
washazoea kulima kua limewapiga sana ila wakija mjini wanakua wazuri ndo ujue kua mjini kutamu
 

1. Unawajuwa wamjini wanatokea vijijin

2. Unafaham tofauti ya asili na manmade

Kwa taarifa yako natural is beauty always
 
Kijijini wapi huko umeona wanawake wemye vitambi?
Au unaongelea wa kisarawe na bagamoyo?
 
Naongezea hapo... Wengi wao hawana chura, pia wana sura za baba zao wa kambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaona wewe...vicus kuna vitu vitamu balaa..sem si vingi sana kutokana na vyuma kukaza..vyuma vya kijijini si mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yote naomba uwatake radhi wasichana wanaoishi vijijini,

Pia naomba naomba utambue wasichana walio wengi unaowaona mjini wanatoka vijijini..
Naomba pia ujue kwamba wasichana walioko vijijini na walioko mjini wenye vitambi sana wako mjini..
Jana nimekaa Segerea kwa fundi wa kushona nguo, nilikuwa nimefata huduma kwake, nikiwa pale nilingundua wateja wake wengi ni wasichana.. kwa masikitiko makubwa niliwaona wengi wanavitambi kuliko hata wa huko vijijini..

Finally, wasichana wa mjini wanaonekana kuwa na muonekano nadhifu kuliko wa vijijini kutokana na ukweli kwamba wao wanaadha ndogo za kijamii kuliko wa vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…