Kwanini wanawake wengi walioolewa baada ya muda hujisahau kuwajali waume zao, wakiachwa hujuta sana

Kwanini wanawake wengi walioolewa baada ya muda hujisahau kuwajali waume zao, wakiachwa hujuta sana

ungekuwa unamssaidia japo jukumu moja afta toka job do u thk angekuwa badop bze?

we ukirud kazin mguu juuuuuuuuuuuu na magazet yote dunian yeye apke,amchek mtoto afanye nini sjui ..wat if ungekuwa beside her unashka iki na iki unazan lugha ya yuko bze ingekwepo?manake mpo wote kwenye pilka za home ....

saidia mkeo kupunguza majukumu then utaona....
 
wanapashwa kuchukua madarasa ya ndoa---nchi nyingine wana mpango mzuri ya kum update mtu....... ukipewa ticket kwa makosa ya barabarani -darasa----divorce ------darasa na mengine mengi yanakumbusha wajibu wako katika jamiii
 
Haswa wanahitaji sana kukumbushwa.....!!!kujisahau na kubweteka ndo swala zima.
 
Back
Top Bottom