Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sio maokoto mkuu, Mimi ni mrefu Sina hela siongozani nao hebu nipe mbinu.Wadau hamjamboni nyote?
Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
NB: moderator Tafadhali usiunganishe Uzi huu kwingineko
Sio maokoto mkuu,Mimi ni mrefu Sina hela siongozani nao hebu nipe mbinu.Wadau hamjamboni nyote?
Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
NB: moderator Tafadhali usiunganishe Uzi huu kwingineko
Mrefu_Ntali, umpimba_Mfupi, kinyakyusa,urefu ni mzuri,hata ufupi ni maumbile kama Zakayo wa biblia.Mpaka leo hili swali bado linaulizwa?Watakuwa wanawapenda.
awe mrefu, smart, black na mishipa ijichore mikoni huyu tutaongozana had mbinguni
Ebu mfano hapo umevaeje tuelezee tukuambie unapokosea.Sio maokoto mkuu,Mimi ni mrefu Sina hela siongozani nao hebu nipe mbinu.
Tunasoma uku tunavimba mabichwaWarefu tunacoment wapi???
Urefu wa kitanda huo, ukilala miguu inatokezea..Nina 6 feet na kiduchu naona ni urefu mzuri