Kwanini wanufaika wa mikopo huzuiliwa kufanya mtihani ada ikichelewa wakati ada inalipwa na Serikali?

Kwanini wanufaika wa mikopo huzuiliwa kufanya mtihani ada ikichelewa wakati ada inalipwa na Serikali?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali?

Kwamba hawaamini kama watalipwa?

GSdJ1caXkAAboj3.jpg
 
Hao walio zuiliwa hawakukubali kulipiwa ada au hawakuweka sahihi zao kwenye kipengele cha ada
 
umeileta hii mada wakati wake hebu naomba kujuwa namna ya kufanya ili kuweza kupata mkopo unaanzia wapi na unaishi wapi shukan
 
Back
Top Bottom