Kwanini Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe?

Kwanini Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
 
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
Umeshaanza pre form 1 ?maana swali lako ulivyouliza unaonekana kabisa mtoto sidhani mtu mzima uwe hujui maana ya bendera nyeupe kwenye uwanaja mapambano.
 
Back
Top Bottom