econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Nov 8, 2023 #1 Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,826 Reaction score 7,388 Nov 8, 2023 #2 econonist said: Nimeiona kuanzia Jana wapalestina wanatembea na bendera nyeupe . Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Sawa na kunyanyua mikono juu mwendo wa mateka
econonist said: Nimeiona kuanzia Jana wapalestina wanatembea na bendera nyeupe . Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Sawa na kunyanyua mikono juu mwendo wa mateka
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Nov 8, 2023 #3 Ni kukubali kushindwa.
LINGWAMBA JF-Expert Member Joined Sep 30, 2023 Posts 484 Reaction score 1,214 Nov 8, 2023 #4 econonist said: Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Umeshaanza pre form 1 ?maana swali lako ulivyouliza unaonekana kabisa mtoto sidhani mtu mzima uwe hujui maana ya bendera nyeupe kwenye uwanaja mapambano.
econonist said: Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Umeshaanza pre form 1 ?maana swali lako ulivyouliza unaonekana kabisa mtoto sidhani mtu mzima uwe hujui maana ya bendera nyeupe kwenye uwanaja mapambano.