Kwanini wapishi wanavaa vile vikofia?

Kwanini wapishi wanavaa vile vikofia?

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???

karibuni tupate jibu.
 
1.Kuzuia nywele zisiingie kwenye chakula.
2.Rangi nueupe ni rahisi kuona kama ni chafu.
 
Kikubwa ni kuzuia nywele na uchafu wa kwenye nywele usiingie kwenye chakula.pia kile kitambaa anachovaa kufunika mdomo ni kwa ajili ya kuzuia bactetia wanaotoka mdomoni akiongea wasiingie kwenye chakula...mpishi haruhusiwi kuongeaongea akiwa anapika
 
Nimekupata mkuu,sasa ni kwanini viwe vikofia vya namna ile tu ???
 
Kikubwa ni kuzuia nywele na uchafu wa kwenye nywele usiingie kwenye chakula.pia kile kitambaa anachovaa kufunika mdomo ni kwa ajili ya kuzuia bactetia wanaotoka mdomoni akiongea wasiingie kwenye chakula...mpishi haruhusiwi kuongeaongea akiwa anapika
Kwa mfano mimi nikibuni kofia za kuvaa wapishi wangu zisifanane na zile kutakuwa na tatizo ???
 
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???

karibuni tupate jibu.
pia ni icon inayoashiria kuwa yule alovaa vile ni mpishi(chef) kama vile askari anavovaa yale magwanda kukufanya ujue kuwa ni askari..
 
Kwahiyo hii ni sheria ??
 
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???

karibuni tupate jibu.
Rangi nyeupe ni symbol ya usafi pia
 
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???

karibuni tupate jibu.

-Hakuna aliyebuni hata wewe waweza kubuni

-kuzuia nywele ama chawa

-nyeupe ni rahisi kuonyesha uchafu,na vile vile inakufanya usiongee wakati wa kazi, ni hayo tu
 
Kwahiyo naweza kubuni ikawa kama kapelo na isiwe tatizo ???
 
Back
Top Bottom