zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Ulikuwa una haraka sana ya kupost?Sijajua sababu au ni kwamba wanaume wanajua kupika kuliko wanaume?
Umenichekesha ulivyosema hakuna kuomba ruhusa ya kitchen partyHata bar nyingi wapishi wanaume..
Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.
Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..
Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..
Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..
Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea
Nyongeza hapo. Pishi la mwanaume kawaida linakuwa consistent muda mwingi. Hutasikia leo kazidisha chumvi au mafuta au leo kaunguza kidogo.Hata bar nyingi wapishi wanaume..
Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.
Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..
Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..
Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..
Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea
Hata bar nyingi wapishi wanaume..
Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.
Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..
Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..
Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..
Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea
Hivi kwanini wanawake wanapenda sana kuwaona waume zao/ boyfriend zao wakipika?
π π πSUMU KWENYE CHAKULA..... nafikiri nimeeleweka
Huwa unamgonga?Kuna manzi nimekuwa nikimpikia hadi kachanganyikiwa!
Huwa unamgonga?
Wanaume kazi wanawake umbea.JF,
Nafikiri na nyie mtakuwa mmegundua hili.
Wapishi katika mahoteli makubwa wengi ni wanaume.
Hasa hasa hoteli zenye hadhi ya nyota tano lakini hata zile za hadhi ndogo.
Sijajua sababu au ni kwamba wanaume wanajua kupika kuliko wanaume?
Ina raha flani hivi....Hivi kwanini wanawake wanapenda sana kuwaona waume zao/ boyfriend zao wakipika?