Willy T
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 252
- 91
Kama ilivyo kwa kichwa cha habari hapo juu nimejaribu kufikiria sana kuhusu hili swala na nikaona ni tatizo kubwa sana
Kwanini wasanii wa THT ambao wanavipaji na wanafundushwa namna ya kuwasaidia kukuza kipaji chao ila mshangao ni kwamba hawawezi kujifikisha mbali au hawasikiki mbali kimataifa
Mfano.
Barnaba, lina, amini na wengine pamoja na kujua kutunga na kuimba ila mwisho mafanikio hayaonekani sasa Je?
Ni kwamba hawawezi kutafuta promotion au?
Hawajui kujiweka vizuri?
Mitandao ya kijamii haiwasaidii au?
Naomba tujadiliane kidogo.