Kwanini wasanii kutoka THT hawafanyi vizuri kuliko wasanii wanajituma wenyewe?

Willy T

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
252
Reaction score
91
Kama ilivyo kwa kichwa cha habari hapo juu nimejaribu kufikiria sana kuhusu hili swala na nikaona ni tatizo kubwa sana

Kwanini wasanii wa THT ambao wanavipaji na wanafundushwa namna ya kuwasaidia kukuza kipaji chao ila mshangao ni kwamba hawawezi kujifikisha mbali au hawasikiki mbali kimataifa
Mfano.

Barnaba, lina, amini na wengine pamoja na kujua kutunga na kuimba ila mwisho mafanikio hayaonekani sasa Je?

Ni kwamba hawawezi kutafuta promotion au?

Hawajui kujiweka vizuri?

Mitandao ya kijamii haiwasaidii au?

Naomba tujadiliane kidogo.
 
Compare NA diamond NA kiba
 
Pale kuna ukiritimba inaonekana wa kufanya sorting
 
Wanajua kutunga wapi, mi naona miyeyusho Tu. Yule mwingine anaimba treni yake ya kutongoza imefunga breki. Sasa hayo mashairi gani? Nani umemuona Anatongoza na treni?

Ha ha haha nimejikuta nacheka ..ni nani huyo?
 
Kina linah, Barnaba , recho e.t.c wanajua sema ndo vile Tena wanapigwa panga sana kwenye mpunga ..mara ya mwisho kufuatilia mafanikio ya hili kundi nlionaga Barnaba kanunua mark x
 
Kina linah, Barnaba , recho e.t.c wanajua sema ndo vile Tena wanapigwa panga sana kwenye mpunga ..mara ya mwisho kufuatilia mafanikio ya hili kundi nlionaga Barnaba kanunua mark x
Na Barnaba ndo product yao ya kujivunia hiyo
 
Au ndio yale ya wakina lady jadee kumsema mheshimiwa?
Vipi kuacha
Barnaba, recho, lina, amini wengine ambao wapo hai ni wapii?
Hii nchi wasanii hawashtuki tuu?
 
Ruge atakula wap akiwachia wapate mafanikio na kuhit
 
Watu wanaisifia Clouds kwa kuinua vipaji,lakini mbona vya kwao wanashindwa ........... Hii haina tofauti na ile ya "mai switi hati" wa taifa wanayesema kamfanya DIAMOND kuwa maarufu basi amuwezeshe na Mirror msanii wake naye awe maarufu.
 
Hua wanaendelea hadi stage fulani ndio mwisho hawawezi kuendelea zaidi ya hapo maana watajitambua na wakishajitambua italeta conflicting interest na ndio itaanza vita Kama ya komando, kwa ufupi uongozi hauja focus kwenye wasanii kupata mafanikio wenyewe kama wenyewe bali wame focus katika kunufaika kupitia vipaji vya hao vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…