Kwanini wasanii wa kiislamu (bongoflavor) hawa-support mfungo wa ramadhani?

Mfungo wa ramadhani hauhitaji promo.. Huo ni mwezi uliotukuka, alafu unakosea sana kutaka kuwafanya wasanii wa kidunia wauoigie promo mwezi mtukufu!!!
Wabongo sijui akili zetu tumemuazima nani na sijui ataturudishia lini???
Ati mtu unalalamika kabisa kwanini wasanii hawaupigii promo mwezi ramadhani haahahahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…