Kwanini wasanii wa kike karibia wote wana shepu?

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
161
Mi nauliza swali jamani, hivi hawa wasanii wetu wa kike ndio kusema Mungu kawapendelea au? Maana karibia wote wana shepu hawana matumbo mpaka nashangaa au kuna vitu wanatumia hawa?.
 
Wanawake wa siku hizi wana vitambi, nashindwa kutofautisha na mimba [emoji19] [emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…