Kwanini wasanii wa kike karibia wote wana shepu?

Zari kafyatua toto saba sijui lakini katumbo kadogo.

miss CHAGA
Hanna.Ata mtoto lakini tumbo kama anamimba..


Wanawake kama hampendi tumbo kubwa punguzeni bia za ofa na makuku ya mtelezo(buree)
 
Ata ww unaeza kua kama wao
#mchinaamejaaa#

KUTOKUWA NA TUMBO SIO MCHINA, NI DISCIPLINE. SIO KILA KITU CHA KUPONDA, WAPE CREDIT, NI DADA ZETU. UKIWAPA CREDIT ITAWAFANYA NA WENGINE WAWE POSITIVE KUJITAHIDI KUFIKA HUKO
 
Utata ndio unapoanzia hapo!!! Kaaazi kweli kweli..Jamani wadada Jaribuni kufanya matizi ( mazoezi) ni muhimu sana....Huwa navutiwa sana na wadada wafanya mazoez na wenye matumbo yaliyojengeka kimazoezi
Ugonjwa wangu huu..nikiwaona wanawake kama hawa mimi Hoooooiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…